Swissport SACCOS inapenda kuwaarifu kuwa zoezi la uchaguzi wa viongozi limeanza hivyo mnaombwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali kama inavyoainishwa hapa chini.
·
Mjumbe
wa bodi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa, na mjumbe mmoja (1) kuziba
pengo lake atachaguliwa – JNIA.
·
Mjumbe
wa bodi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa, na mjumbe mmoja (1) kuziba
pengo lake atachaguliwa – JRO.
·
Wajumbe
kamati ya usimamizi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa na mmoja (1) ataingia
kuziba pengo-JNIA.
·
Mwakilishi
wa chama ataachia madaraka na kuchagua mjumbe mwingine mpya-JNIA
Asanteni sana
Katibu
No comments:
Post a Comment