FOMU YA MAOMBI YA MKOPO
(Soma kwa makini na kuielewa kabla ya kujaza)
SEHEMU
YA I: MAOMBI YA MKOPO (Ijazwe na Mwanachama)
1. Jina la
Mwombaji…………………………..…………………………... Staff Number………………………..
2. Kiasi cha mkopo unaoombwa Shilingi ….………………………………………….
(Kwa Maneno………………………………………………………………………………………….…………………)
3. Marejesho yatakuwa ni kwa miezi…………………(andika kwa tarakimu)kwa vifungu vya
shilingi………………………… (andika kwa tarakimu)kila
kifungu kikiwa na mkopo pamoja na riba juu ya mkopo
4. Madhumuni ya Mkopo huu ni……………………………………………………….……………………………………..
……………………………………………………………………………………………………………………………………………..…..
5. Dhamana inayowekwa kwa ajili ya mkopo huu ni………………………………………………………………………………….…..thamani
yake ni shs. …………………………………………………………………………………………………………………………
…..……………………………………………………………..………. …………………20…….
SAINI YA
MWOMBAJI ANUANI TAREHE YA MAOMBI
SEHEMU
YA II: MAHESABU YA MWOMBAJI MKOPO (Ijazwe na Mhasibu)
1.
Leja ya Mwanachama Na. ………………………..
2.
Baki ya Mkopo wa dharura hadi tarehe
……………………… Sh. ……………………Makato sh……………………..….
3.
Baki ya mkopo wa kawaida hadi
tarehe……………………….Sh………………………Makato sh……………………..…
4.
Baki ya mkopo wa Idd/Xmass hadi tarehe
…………………..Sh …………………….. Makato sh………………………..
5.
Baki ya Akiba hadi tarehe ………………………………………Sh………………………Makato
sh…………………..…....
6.
Salio la mshahara mwezi
……………………………………… Sh………………………
7.
Nathibitisha kuwa mahesabu yote ni
sahihi
…………………..……………………………………………………… ..20………….
JINA LA MHASIBU/MHAZINI
SAINI YAKE TAREHE
SEHEMU
YA III: MAONI YA KAMATI
YA MIKOPO/AFISA MIKOPO
Katika
Kikao cha Kamati ya Mikopo kilichofanyika/Mimi nikiwa Afisa mikopo tarehe
…………20…. Tuliidhinisha/Nimeidhinisha mkopo kama alivyoomba mkopaji
huyu/*Hatukuidhinisha/Sikuidhinisha mkopo kama alivyoomba isipokuwa apewe kama
ilivyoelezwa hapa chini/*Asipewe kwa sababu zifuatazo: ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
Katibu wa Kamati ya Mikopo Mjumbe
wa Kamati ya Mikopo Mwenyekiti wa Kamati/Afisa
Mikopo
……… ..20…………..
*(Futa yasiyopasa) Tarehe
SEHEMU
YA IV: MAELEZO BINAFSI YA MKOPAJI
1.
Ninadaiwa na wafuatao (Andika
orodha ya madeni yote ikiwa ni lazima ambatanisha karatasi yenye orodha zaidi)
MDAI ANUANI KIASI
………………………………………. ………………………….. ………………………………….
………………………………………. …………………………. ………………………………….
2. Tarehe ya kuajiriwa ……………………19………….. Kazi yako ………………………………………………………..
3.Mshahara kwa mwezi Shs. …………………………………………
4.
Mapato Mengine kwa mwezi Shs.
…………………………………
5.
Jumla ya
wanaokutegemea…………………………………………
6.
Mali
nyingine (Dhamana) ulizonazo na mahali zilipo
AINA YA MALI MAHALI
ZILIPO THAMANI
………………………………………… …………………………………… …………………………….
………………………………………… ……………………………………. ……………………………..
SEHEMU YA V: MAELEZO YA WADHAMINI WAWILI
(Maelezo
yao ni muhimu
yatolewe kwa ufasaha kwani watawajibika kwa mikopo ambayo haitarejeshwa)
MDHAMINI
WA KWANZA
1.
Jina lake ………………………………………………. Staff
No…………….. Namba
ya Leja…………………
2. Kazi
yake ……………………………………………… Mshahara kwa mwezi
…………………………………………
3. Jumla
ya wanaomtegemea ………………………….
4. Thamani
ya mali
alizonazo na mahali zilipo
AINA YA MALI MAHALI
ZILIZPO THAMANI
……………………………………………… ………………………………………… …………………….
…………………………………………….. ………………………………………… ……………………..
Saini
yake ………………………………. Idara
……………………………………………. Tarehe ……………20……..
MDHAMINI
WA PILI
1. Jina lake …………………………………………… … Staff No……………… Namba ya
Leja…………
2.
Kazi yake ……………………………………………………………
Mshahara kwa mwezi
…………………………
3. Jumla
ya wanaomtegemea ……………………………………….
3.
Thamani ya mali alizonazo na mahali zilipo
AINA YA MALI MAHALI ZILIPO THAMANI
…………………………………………….. ……………………………….. …………………
…………………………………………….. ……………………………….. ……………………………….
Saini yake ………………………………………….. Idara …………………………………. Tarehe
……………
SEHEMU
YA VI: MKATABA WA
MKOPO (Ijazwe kwa msaada M/Hazina au
Mhasibu)
1. Kwa
ajili ya fedha nilizopokea, mimi naahidi kukilipa Chama Cha Ushirika Cha Akiba
na Mikopo cha SWISSPORT TANZANIA au Walioamriwa
nacho kiasi cha Shs. …………………………………. (ikiwa ni mkopo pamoja na faida)
zitakazolipwa kwa mafungu
………………….. ya Shilingi ……………………………… kila moja na kila kifungu kikichanganywa
pamoja na faida na fungu la kwanza litalipwa mwezi ……………20…………na fungu lingine kama hilo litalipwa kila baada ya mwezia kuendelea hadi deni limemalizika na fungu la kwanza litalipwa mwezi ……………20…………na fungu lingine kama hilo litalipwa kila baada
ya mwezi na kuendelea hadi deni limemalizika.
2.
Mimi
nimekubali malipo kidogo kidogo mkopo huu pamoja na faida ambayo ni asilimia
moja ya baki ya mkopo kila mwezi yakatwe kutokana na mshahara wangu au pato
lingine linalonihusu
3. Nikishindwa
kulipa kama tulivyokubaliana katika mkataba huu basi deni lililobaki itabidi lilipwe papo hapo au litahamishiwa kwa
wadhamini wangu.
4.
Pia
tumekubaliana kwamba nikishindwa kulipa kama ilivyo katika mkataba huu adhabu
italipwa kwa kiasi cha moja
kwa mia kwa mwezi juu ya baki fedha za mkopo
zisizolipwa.
5. Akiba,Hisa na Amana zangu zitabaki kuwa
dhamana ya mkopo huu hadi utakaporejeshwa.
6. Naidhinisha haki zangu za malipo ya
kustaafu,akiba ya uzeeni,bima au mafao yoyote ninayostahili yachukuliwe na
kulipia baki ya deni ikiwa nitakuwa nimeacha kazi kwa sababu yeyote kabla ya
kumaliza malipo ya mkopo
Nimesoma mkataba huu na kuuelewa na nakubaliana
na yote yaliyoandikwa. Naahidi
kuyatekeleza.
SAINI YA
MWEKA MKATABA/AHADI (Itiwe saini na
Mwombaji)
Saini………………………………………………………….... Staff No………………
Anuani …………………………………………………………………………..….…...
MKATABA
HUU UMESHUHUDIWA NA WADHAMINI WAWILI (Saini
za wadhamini)
Saini ya Mdhamini wa Kwanza ……………………………………………….. Staff No
…………….
Saini ya Mdhamini wa Pili ……………………………………………….. Staff No ……………..
SEHEMU YA V11: VIWANGO VYA MIKOPO NA MAREJESHO YAKE
NA RIBA.
Riba ya mikopo yote ni
asili mia 15 kwa kila kiwango kinachobaki ( 15% on reducing Balance) na kwamba
marejesho ya mikopo yawe ndani ni muda wa mkataba wa ajira.
Mikopo hiyo itatolewa kama ifuatavya.
1.
shs. 500,000.00 marejesho ndani ya miezi 6 Riba ya 15%
2.
shs. 1,000,000.00 marejesho ndani ya miezi 12 Riba ya 15%
3.
shs. 2,000,000.00 marejesho ndani ya miezi 18 Riba ya 15%
4.
shs.4,000,000.00 marejesho ndani ya miezi 24 Riba ya 15%
5.
shs. 10,000,000.00 marejesho ndani ya miezi 36 Riba ya 15%
kiwango hiki na kuendelea.
Gharama za form za
mkopo ni shs. 1% ya mkopo utakao tolewa
kwa kila muombaji.
SEHEMU YA V111:UTHIBITISHO WA MALIPO
Mwombaji amepewa mkopo leo tarehe
………………………………………………20………….. Shs. ………………………………………………………………….. kwa Hundi
Nambari ……………………………………….
ya
tarehe ………………………………….20……………………
…………………………………………………. ………………………20………
SAINI YA MHAZINI TAREHE +++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
No comments:
Post a Comment