FORMS


FOMU YA MAOMBI YA MKOPO

(Soma kwa makini  na kuielewa kabla ya kujaza)
                                                                                                                                                                               
 
SEHEMU YA I:                      MAOMBI YA MKOPO (Ijazwe na Mwanachama)
 
1.     Jina la Mwombaji…………………………..…………………………... Staff  Number………………………..
2.      Kiasi cha mkopo unaoombwa   Shilingi ….………………………………………….
(Kwa Maneno………………………………………………………………………………………….…………………)
3.    Marejesho yatakuwa ni kwa miezi…………………(andika kwa tarakimu)kwa vifungu vya shilingi………………………… (andika kwa tarakimu)kila kifungu    kikiwa na   mkopo pamoja na riba juu ya mkopo
4.    Madhumuni ya Mkopo huu ni……………………………………………………….……………………………………..
……………………………………………………………………………………………………………………………………………..…..
5.      Dhamana inayowekwa kwa ajili ya mkopo huu ni………………………………………………………………………………….…..thamani yake ni shs. …………………………………………………………………………………………………………………………
…..……………………………………………………………..……….                                    …………………20…….
SAINI YA MWOMBAJI                                                ANUANI                                      TAREHE YA MAOMBI
 

SEHEMU YA II:    MAHESABU YA MWOMBAJI MKOPO (Ijazwe na Mhasibu)
 
1.             Leja ya Mwanachama Na. ………………………..
 
2.             Baki ya Mkopo wa dharura hadi tarehe ……………………… Sh. ……………………Makato sh……………………..….
 
3.             Baki ya mkopo wa kawaida hadi tarehe……………………….Sh………………………Makato sh……………………..…
 
4.             Baki ya mkopo wa Idd/Xmass hadi tarehe …………………..Sh ……………………..  Makato sh………………………..
 
5.             Baki ya Akiba hadi tarehe ………………………………………Sh………………………Makato sh…………………..…....
 
6.             Salio la mshahara mwezi ……………………………………… Sh………………………
 
7.             Nathibitisha kuwa mahesabu yote ni sahihi
 
…………………..………………………………………………………                                ..20………….
JINA LA MHASIBU/MHAZINI                                SAINI YAKE                                              TAREHE
 
 

SEHEMU YA III:                   MAONI YA KAMATI YA MIKOPO/AFISA MIKOPO
 
Katika Kikao cha Kamati ya Mikopo kilichofanyika/Mimi nikiwa Afisa mikopo tarehe …………20…. Tuliidhinisha/Nimeidhinisha  mkopo kama alivyoomba mkopaji huyu/*Hatukuidhinisha/Sikuidhinisha mkopo kama alivyoomba isipokuwa apewe kama ilivyoelezwa hapa chini/*Asipewe kwa sababu zifuatazo:  ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
Katibu  wa Kamati ya Mikopo                           Mjumbe wa Kamati ya Mikopo                         Mwenyekiti wa Kamati/Afisa Mikopo
 
                                                                                                                                                                            ………     ..20…………..
*(Futa yasiyopasa)                                                                                                                                              Tarehe
 
SEHEMU YA IV:  MAELEZO BINAFSI YA MKOPAJI
 
1.     Ninadaiwa na wafuatao (Andika orodha ya madeni yote ikiwa ni lazima ambatanisha karatasi yenye orodha zaidi)
 
MDAI                                                                      ANUANI                                             KIASI
 ……………………………………….                   …………………………..                      ………………………………….
……………………………………….                   ………………………….                       ………………………………….
2.    Tarehe ya kuajiriwa ……………………19…………..  Kazi yako ………………………………………………………..
 
3.Mshahara kwa mwezi Shs. …………………………………………
 
4.     Mapato Mengine kwa mwezi Shs. …………………………………
 
5.     Jumla ya wanaokutegemea…………………………………………
 
6.     Mali nyingine (Dhamana) ulizonazo na mahali zilipo
 
AINA YA MALI                                                      MAHALI ZILIPO                                    THAMANI
                …………………………………………                ……………………………………        …………………………….
                …………………………………………                …………………………………….       ……………………………..
 

SEHEMU YA V:   MAELEZO YA WADHAMINI WAWILI
                (Maelezo yao ni muhimu yatolewe kwa ufasaha kwani watawajibika kwa mikopo ambayo haitarejeshwa)
 
                                           
MDHAMINI WA KWANZA
 
1.             Jina lake ………………………………………………. Staff No……………..                  Namba ya Leja…………………
 
2.             Kazi yake ……………………………………………… Mshahara kwa mwezi  …………………………………………
 
3.             Jumla ya wanaomtegemea ………………………….
 
4.             Thamani ya mali alizonazo na mahali zilipo
 
AINA YA  MALI                                                                     MAHALI ZILIZPO                                 THAMANI
               
………………………………………………                        …………………………………………                …………………….
 
  ……………………………………………..                          …………………………………………                ……………………..
 
 Saini yake ……………………………….           Idara …………………………………………….  Tarehe ……………20……..
 
 
MDHAMINI WA PILI
 
1.             Jina lake …………………………………………… …                      Staff No……………… Namba ya Leja…………
 
2.            Kazi yake ……………………………………………………………  Mshahara kwa mwezi  …………………………
 
3.             Jumla ya wanaomtegemea ……………………………………….
 
3.     Thamani ya mali alizonazo na mahali zilipo
 
AINA YA MALI                                                          MAHALI ZILIPO                                                THAMANI
  ……………………………………………..                          ………………………………..              …………………
 
  ……………………………………………..                          ………………………………..           ……………………………….
      Saini yake …………………………………………..          Idara ………………………………….  Tarehe  ……………
 
SEHEMU YA VI:  MKATABA WA MKOPO (Ijazwe kwa msaada M/Hazina au Mhasibu)
1.       Kwa ajili ya fedha nilizopokea, mimi naahidi kukilipa Chama Cha Ushirika Cha Akiba na Mikopo cha SWISSPORT TANZANIA au Walioamriwa nacho kiasi cha Shs. …………………………………. (ikiwa ni mkopo pamoja na faida) zitakazolipwa kwa mafungu ………………….. ya Shilingi ……………………………… kila moja na kila kifungu kikichanganywa pamoja na faida na fungu la kwanza litalipwa mwezi ……………20…………na fungu lingine kama hilo litalipwa kila baada ya mwezia kuendelea hadi deni limemalizika na fungu la kwanza litalipwa mwezi  ……………20…………na fungu lingine kama hilo litalipwa kila baada ya  mwezi na kuendelea hadi deni limemalizika.
2.       Mimi nimekubali malipo kidogo kidogo mkopo huu pamoja na faida ambayo ni asilimia moja ya baki ya mkopo kila mwezi yakatwe kutokana na mshahara wangu au pato lingine linalonihusu
3.       Nikishindwa kulipa kama tulivyokubaliana katika mkataba huu basi deni lililobaki  itabidi lilipwe papo hapo au litahamishiwa kwa wadhamini wangu.
4.       Pia tumekubaliana kwamba nikishindwa kulipa kama ilivyo katika mkataba huu adhabu italipwa kwa kiasi cha  moja
kwa mia kwa mwezi juu ya baki fedha za mkopo zisizolipwa.
5.      Akiba,Hisa na Amana zangu zitabaki kuwa dhamana ya mkopo huu hadi utakaporejeshwa.                
6.    Naidhinisha haki zangu za malipo ya kustaafu,akiba ya uzeeni,bima au mafao yoyote ninayostahili yachukuliwe na kulipia baki ya deni ikiwa nitakuwa nimeacha kazi kwa sababu yeyote kabla ya kumaliza malipo ya mkopo
 
Nimesoma mkataba huu na kuuelewa na nakubaliana na yote yaliyoandikwa.  Naahidi kuyatekeleza.
 
SAINI YA MWEKA MKATABA/AHADI (Itiwe saini na Mwombaji)
 
Saini………………………………………………………….... Staff No………………
 
Anuani …………………………………………………………………………..….…...
 
MKATABA HUU UMESHUHUDIWA NA WADHAMINI WAWILI (Saini za wadhamini)
 
Saini ya Mdhamini wa Kwanza              ……………………………………………….. Staff No …………….
 
Saini ya Mdhamini wa Pili       ……………………………………………….. Staff No ……………..
 
 

SEHEMU  YA V11: VIWANGO VYA MIKOPO NA MAREJESHO YAKE NA RIBA.
Riba ya mikopo yote ni asili mia 15 kwa kila kiwango kinachobaki ( 15% on reducing Balance) na kwamba marejesho ya mikopo yawe ndani ni muda wa mkataba wa ajira.
 
Mikopo hiyo itatolewa kama ifuatavya.
 
1.     shs. 500,000.00  marejesho ndani ya miezi 6 Riba ya 15%
2.     shs. 1,000,000.00  marejesho ndani ya miezi 12 Riba ya 15%
3.     shs. 2,000,000.00  marejesho ndani ya miezi 18 Riba ya 15%
4.     shs.4,000,000.00  marejesho ndani ya miezi 24 Riba ya 15%
5.     shs. 10,000,000.00  marejesho ndani ya miezi 36 Riba ya 15% kiwango hiki na kuendelea.
 
Gharama za form za mkopo ni shs.  1% ya mkopo utakao tolewa kwa kila muombaji.
 
SEHEMU YA V111:UTHIBITISHO WA MALIPO
Mwombaji amepewa mkopo leo tarehe ………………………………………………20…………..  Shs. ………………………………………………………………….. kwa Hundi Nambari ……………………………………….
ya  tarehe ………………………………….20……………………
 
 
 
      ………………………………………………….                              ………………………20………
                               SAINI YA MHAZINI                                                                                                     TAREHE                                                                                            +++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
 

No comments:

Post a Comment