Friday, August 31, 2012

UCHAGUZI WA VIONGOZI

Kwa wanachama wote JRO na JNIA
Swissport SACCOS inapenda kuwaarifu kuwa zoezi la uchaguzi wa viongozi limeanza hivyo mnaombwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali kama inavyoainishwa hapa chini.

·         Mjumbe wa bodi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa, na mjumbe mmoja (1) kuziba pengo lake atachaguliwa – JNIA.

·         Mjumbe wa bodi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa, na mjumbe mmoja (1) kuziba pengo lake atachaguliwa – JRO.

·         Wajumbe kamati ya usimamizi mmoja (1) atapigiwa kura ya kuondolewa na mmoja (1) ataingia kuziba pengo-JNIA.

·         Mwakilishi wa chama ataachia madaraka na kuchagua mjumbe mwingine mpya-JNIA


Asanteni sana
Katibu